In order to view this object you need Flash Player 9+ support!

Get Adobe Flash player


Utamu wa Shule, Ladha ya Degree.
Vyuoni Tanzania Blog is an open discussion blog. This blog is NOT owned, affiliated or operated by Tanzania Commission For Universities.

Itangaze Blog Hii Kupitia

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon

Wednesday, March 30, 2011

HATIMAYE THEO NA THEA WAMALIZA UKIMYA....

 Bwana na Bi harusi wakiingia ukumbini Blue Pearl Hotel Ubungo Plaza Jijini baada ya kumaliza ukimya kwa kiapo kilichofanyikia kanisa la mtakatifu Joseph DSM


 Wanafamilia  Wapya wakiwa kwenye Picha ya Pamoja na wapambe wao..


 Mvinyo Usio na Kilevi Ulitandazwa kwa kila mlaji  Ufunguaji ukianzia meza kuu
 Wadau Esthomii na Grace ambao ni wafanyakazi wenza na Thea nao wakiiitikia mwito wa heshima ya kimiminika ninachofunguliwa na wanandoa wapya...

 Mdau Judie alibahatika kufungua shampagne
 huku Grace akihofu itammwagikia


Baada ya Hapo Mnuso na Sebene Vikawa Mwake.

Picha zote na Zombi wa Blog ya mwanachuo

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru