Mkombozi akiwa ameshikiliwa na Baba yake wa Ubatizo ambaye ni baba yake mkubwa Mr. Salvatory Kisuda mbele ya Paroko kwa ajili ya tukiomuhimu maishani mwake kiimani.
Baada ya Batizo mambo yakawa shwari kama hivi na Usingizi kushney....
"eti wamekulowesha na maji kichwani Baba? wee waache tuu....."
Wadau hawakupitwa na tukio mwanzomwisho, baada ya kanisani; mambo yakawa tujimwage kuufinya....
Ikawa ni mtu na mzazi wake full mdundo na kukumbushana ubaridi wa maji ya kanisani...!
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Toa Maoni Yako Kwa Uhuru