Mwanachuo huyu anasisitiza mazoezi hasa kwa kinadada, kwa sasa anajiandaa "kulauch" chumba chake cha mazoezi ili aanze kuwafundisha wenzake namna ya kupasha na kusisimua misuli.
Mpeni tafu. Punde mambo yakiwa tayari ndio itakuwa siku yakutoa sura yake kwenye pazia na ndio mtaelekezwa "Gym" hiyo inapatikana wapi kwa sasa tuwe na subira.
Posted by Mwanachuo- ARSH
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Toa Maoni Yako Kwa Uhuru