Mkurugenziwa rasilimali watu Mr. Simoni Sembuche Mgomba akiwakumbusha wafanyakazi maadili na mienendo takika wawapo kazini alipokuwa akiwakilisha kwenye mkutano huo uliofanyika tarehe 25/03.2011 kwenye ofisi za tume zilizopo mtaa wa Garden Mikocheni Jijini Dar es Salaam
Monday, March 28, 2011
MKUTANO WA WAFANYAKAZI WA TUME YA VYUO VIKUU (TCU) WAFANA
Copyright: Vyuoni Tanzania Blog
~
Mtumie Rafiki Yako
,
Maoni: 0
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Toa Maoni Yako Kwa Uhuru